‏ Zechariah 14:8

8 aSiku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki,
Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu.
na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi
Yaani Bahari ya Mediterania.
wakati wa kiangazi na wakati wa masika.

Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.