‏ Proverbs 7:8-9

8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake,
akielekea kwenye nyumba ya huyo mwanamke
9 awakati wa machweo, jua likipungua nuru yake,
giza la usiku lilipokuwa likiingia.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.