‏ Hebrews 2:6-8

6 aLakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema:

“Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria,
binadamu ni nani hata unamjali?
7Umemfanya chini kidogo kuliko malaika;
ukamvika taji ya utukufu na heshima,
8 bnawe umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.”
Kwa kuweka vitu vyote chini yake, Mungu hakuacha kitu chochote ambacho hakukiweka chini ya mwanadamu. Lakini kwa sasa, hatuoni kwamba kila kitu kiko chini yake.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.