‏ 2 Samuel 11:14-15

14 aAsubuhi yake Daudi akamwandikia Yoabu barua, akamtuma Uria kuipeleka. 15 bNdani ya barua aliandika, “Mweke Uria mstari wa mbele mahali ambapo mapigano ni makali sana. Kisha wewe uondoke ili Uria aangushwe chini na kuuawa.”

Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.