‏ 1 Kings 7:2-3

2 aAlijenga Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni, urefu wake ulikuwa dhiraa 100,
Dhiraa 100 ni sawa na mita 45.
upana wake dhiraa hamsini na kimo chake dhiraa thelathini,
Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.
likiwa na safu nne za nguzo za mierezi zikishikilia boriti za mierezi zilizorembwa.
3Ilipauliwa kwa mierezi juu ya boriti zile zilizolala juu ya nguzo arobaini na tano, kumi na tano kwa kila safu.
Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.