‏ Psalms 88:5-6


5 aNimetengwa pamoja na wafu,
kama waliochinjwa walalao kaburini,
ambao huwakumbuki tena,
ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako.


6 bUmenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana,
katika vina vya giza nene.
Copyright information for SwhKC