‏ Psalms 105:10-11


10 aAlilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:

11 b“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.”

Copyright information for SwhKC