Joshua 12:24
24 ▼
wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
▼ In this translation, this verse contains text which in some other translations appears in verses Yos 12:8-Yos 12:24.
bnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi): | cv cmfalme wa Yeriko | mmoja |
| mfalme wa Ai (karibu na Betheli) | mmoja |
| cv dmfalme wa Yerusalemu | mmoja |
| mfalme wa Hebroni | mmoja |
| cv emfalme wa Yarmuthi | mmoja |
| mfalme wa Lakishi | mmoja |
| cv fmfalme wa Egloni | mmoja |
| mfalme wa Gezeri | mmoja |
| cv mfalme wa Debiri | mmoja |
| mfalme wa Gederi | mmoja |
| cv gmfalme wa Horma | mmoja |
| mfalme wa Aradi | mmoja |
| cv hmfalme wa Libna | mmoja |
| mfalme wa Adulamu | mmoja |
| cv imfalme wa Makeda | mmoja |
| mfalme wa Betheli | mmoja |
| cv jmfalme wa Tapua | mmoja |
| mfalme wa Heferi | mmoja |
| cv kmfalme wa Afeki | mmoja |
| mfalme wa Lasharoni | mmoja |
| cv lmfalme wa Madoni | mmoja |
| mfalme wa Hazori | mmoja |
| cv mmfalme wa Shimron-Meroni | mmoja |
| mfalme wa Akishafu | mmoja |
| cv nmfalme wa Taanaki | mmoja |
| mfalme wa Megido | mmoja |
| cv omfalme wa Kedeshi | mmoja |
| mfalme wa Yokneamu katika Karmeli | mmoja |
| cv pmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) ▼ ▼ Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori. | mmoja |
| mfalme wa Goimu katika Gilgali | mmoja |
| cv rmfalme wa Tirsa | mmoja |
Copyright information for
SwhKC