Isaiah 65:8
8 aHili ndilo asemalo Bwana: “Kama vile divai mpya ingali bado inapatikanakatika kishada cha zabibu,
nao watu husema, ‘Usikiharibu,
kwa kuwa bado kuna kitu kizuri ndani yake,’
hivyo ndivyo nitakavyofanya kwa ajili ya watumishi wangu;
sitawaangamiza wote.
Copyright information for
SwhKC