‏ Genesis 42:6

6Wakati huo Yusufu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yusufu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.
Copyright information for SwhKC