Deuteronomy 28:15-18
15 aHata hivyo, kama hutamtii Bwana Mwenyezi Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata: 16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani. 17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa. 18 bUzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ng’ombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Copyright information for
SwhKC