2 Kings 2:3
3 aWana wa manabii waliokuwako huko Betheli wakamjia Al-Yasa na kumuuliza, “Je, unajua ya kwamba Bwana atakuondolea bwana wako leo?” Al-Yasa akawajibu, “Ndiyo, najua, lakini msizungumze juu ya jambo hilo.”
Copyright information for
SwhKC