‏ 2 Chronicles 31:6

6 aWatu wa Israeli na Yuda walioishi katika miji ya Yuda wakaleta pia fungu la kumi la makundi yao ya ng’ombe na makundi ya kondoo na mbuzi pia na fungu la kumi la vitu vitakatifu vilivyowekwa wakfu kwa ajili ya Bwana Mwenyezi Mungu wao na kuvikusanya katika malundo.
Copyright information for SwhKC