‏ 1 Kings 18:7

7 aWakati Obadia alipokuwa akitembea njiani, Ilya akakutana naye. Obadia akamtambua, akamsujudia hadi nchi na kusema, “Je, hivi kweli ni wewe, bwana wangu Ilya?”

Copyright information for SwhKC