‏ 1 Kings 12:25

25 aKisha Yeroboamu akajenga Shekemu akaizungushia ngome katika nchi ya vilima ya Efraimu na akaishi huko. Akatoka huko, akaenda akajenga Penueli.
Jina lingine ni Penieli kwa Kiebrania.

Copyright information for SwhKC